[1]
Historia ya Afrika mashariki English version
Kwenda wima
Mamilioni ya miaka iliyoptia
Muda mrefu uliopita palikuwa na wanyama wengi dhuniani. Lakini, palikuwa bado
hapajawa na watu. Wanyama wengine ambao waliishi wakati ule ni wazazi wa watu.
Wazazi hawa hawakuonwa sana kama watu. Walionwa zaidi kama matumbili. Aina
nyingi ya matumbili waliendelezwa ambayo yalianza kutembelea kwa wima, siyo
kwa miguu minne, lakini miguu miwili tu. Walikuwa wadogo sana, mita moja tu.
Mifupa ya wanyama hawa ilipatwa Kenya na Ethiopia. Waliishii mamilioni ya
miaka iliyopita.
[2]
Hatajui zaidi yanayohusu wao kwa sababu hawakuandika. Tulipata mifupa yao na viombo vyao tu. Viombo vyao vilikuwa vipande vya mawe tu. Vitabu vya makarii wa leo vinasema watu ni wazao wa wanyama kama hii. Sehemu ya watu walitoka Africa kuenda Kaskasini Egypt, Kaskasini-Magharibi Ulaya, na Mashariki Uchina, halafu wakivuka bahari ya Alaska wakitumia sehemu kavu kidogo, kuenda Alaska na ndani pa America. Nani ni sisi kutotumaini ambacho makarii wanachoandika? Watakapoandika vitu tofauti baadaye, tutawatumaini tena.
[3]
Wamisri wanakuja
miaka 8000 iliyopita
Watu wa kwanza ambao walijifunza kuandika kwa kweli ni Wamisri. Walianza
wanaandika kwa kuchora mawe. Tulipata mawe, kwa hivyo tunaweza kusoma mambo
walioyaandika. Wamisri walianza kuandika miaka 8000 iliyopita. Ni jinsii kama
tunajua walikuwa na majahazi. Miaka 5000 iliyopita Wamisri hata waliacha
Bahari Nyekundu (Bahari ya Sham) kupeleleza pwani n[pa??]bali zaidi.
[4]
Watu wa Kibantu wanakudja
miaka 2500 iliyopita
Wamisri hawakupata watu wengi kwenye pwani pale. Hasa siyo kwa Afrika ya
Mashariki. Watu ambao sasa wanaishi Uganda, Kenya na Tanzania, zaidi ni
Wabantu, lakini, miaka 5000 iliyopita, kama Wamisri walianza kuenda na tanga
kandokando ya pwani pa Afrika palikuwepo na Wabantu wachache tu na walikuwa
wanaishi Kameroni ya magharibi.
[5]
Lakini Wabantu walianza kuongezeka kwa jumla, kwa sababu wamejifunza jinsi ya kufanya vyuma. Kwa hivyo walikuwa na vyombo vizuri vya kulimia, na mikuki mizuri na mishare mizuri kupiga maadui. Kwa hivyo Wabantu walimiliki nchi ya Afrika mashariki. Hawakuhama wote pamoja pale wakati mmoja. Kila mara hapakuwa na sehemu ya kutosha kwa watoto wengi wao kulima na kuchunga, timu walikwenda mashariki kidogo mpaka walitafuta sehemu ya bure kuanza kabila jipya. Wabantu walihitaji karibu na miaka 3000 kufika ziwa Victoria. Wakati ule ulikuwa miaka 500 kabla ya Kristo.
[6]
Waarabu wanakuja
miaka 2000 iliyopita
Labda tayari miaka 2000 iliyopita, Waarabu walianza kwenda na tanga kusini, chini pa pwani pa Afrika mashariki. Hii ilikuwa wakati wa Ufalme wa Kiroma na Kristo. Waarabu hawa hawakuwa Waislamu. Mohammed alizaliwa miaka 800 baadaye. Waarabu wengine walikuwa Wakristo, wengi wao walikuwa wapagani. Lakini, walijua sana jinsi ya kwenda na tanga, hata Bahari ya Hindi. Baada Waarabu walikuja kuwa Waislamu, wengi wao walikwenda na tanga pwani pa Afrika kufanya biashara.
[7]
Vilevile jumla ya Wabantu wa Uganda, Kenya na Tanzania ilianza kuongezeka kidogo (ingawa sasa kuna mara 1000 zaidi wao Africa Masahariki). Wachache wao sana walienda na tanga, lakini walifanya biashara kwa wanamaji ambao waliwatembelea. Wabantu waliuza hasa mapembe ya ndovu (meno ya tembo) na watumwa. Kwa kawaida, watumwa walikuwa watu wa Kiafrika ambao walipigana vita nao na walikuwa wamepotea vitani ile. Biashara ya watumwa ilikuwa kwa kawaida Afrika, hasa kama ilikuwa kwa kawaida wakati wa “Antiquity” wa Misri, Ulaya na Asia, ni wakati wa ustaarabu ya zamani sana, kuenda mwisho wa Ufalme wa Kiroma.
[8]
Kama wakati wa Antiquity, watumwa walitumika kufanya kazi, na waliuzwa kwa watu wengine, kama Warabu. Kama wakati wa Antiquity vilevile watumwa walitumika kwa sadaka ya kiutu kwa miungu na wazazi. Kwenye sadaka walikuwa wanaua. Kwenye makabila mengi ya Kiafrika, watumwa ambao wanaua kwa sadaka walikuwa wanakula. Hii inaitwa ulaji wa nyama ya binadamu.
[9]
Biashara ya watumwa na mapembe ya ndovu ilikuja kuwa kubwa sana. Hata, Waarabu walikuwa na miji ya biashara kwenye pwani pa Afrika mashariki. Vilevile, Waarabi walisafiri ndani pa nchi kufanya biashara kwa wanakijiji na wafalme.
[10]
Wazungu wanakuja, na Waarabu zaidi
miaka 500 iliyopita
Wareno walianza kuenda na tanga kusini kandokando pwani pa Afrika magharibi kutafuta dhahabu. Walijua ilikuwa dhahabu pale pengine kwa sababu walikuwa na desturi kununua dhahabu kwa Waarabu, na Waarabu wale ilinunua kutoka mahali pengine kusini pa jangwa la Sahara, wakitumia ngamia. Kwa hivyo. Wareno walitoka kwa tanga kutafuta mahali pa dhahabu.
[11]
Paliwapatwa zaidi kulika miaka 40, lakini, mwaka 1472 walipopata. Ni Ghana. Watu wa Ghana ni Waakan. Makabila ya Akan yalikuwa na machimbo mengi ya dhahabu na palikuwa pale ambapo Waarabu walikuwa wananunua dhahabu kuileta wakivuka jangwa, kuiuza Wareno. Sasa, Wareno waliweze kununua dhahabu wenyewe, mara kwa mara kutoka Waakan. Hawajahitaji Waarbu bado. Ilikuwa rahisi zaidi sana, kwa sababu Warabu huuliza bei ya juu.
[12]
Kukunua dhahabu, Wareno walipeleka kutoka nyumbani farasi, punje, fedha, vitambaa vya pamba na manyoya. Lakini lazima waliwapa wao vingi vya hivyo kubadirisha kwa dhahabu chache. Waakan waliwauliza: “Hamwezi kutuuza sisi watumwa? Tunahitaji watumwa wengi kulima mashamba yetu, kufanya kazi machimboni petu, na kuwatumia kama sadaka ya kiutu na kuwala”
[13]
Kama makabila yote ya Kiafrika, na pia Waarabu, Waakan walikuwa wanafanya biashara ya watumwa. Kilikuwa cho chote kipya kwa Wareno. Kwenye kontinenti yao wenyewe, Ulaya, wakulima wengi walitumika kama watumwa: waliambiwa kufanya kazi nini na hawakuruhusiwa kutoka sehemu za watu wao wakubwa, “nobility”. Kutoka mwisho wa Ufalme wa Kiroma hapakuwa na biashara nyingi Ulaya. Karine iliyopita, Ulaya palikuwa na biashara zaidi ya vitu, lakini siyo ya watumwa.
[14]
Wareno walijifunza biashara ya watumwa kwa haraka. Wakiuza vitu vya nyumbani, walikuwa wananunua watumwa kutoka makabila ya pwani ya Afrika kaskazini ya Akan. Halafu walikuwa wanawauza kwa Waakan wakiwabadiri kwa dhahabu.
[15]
Haikuwa lazima mara nyingi kwa Wareno kuchukua watu wenyewe kuwauza kama watumwa. Makabila ya Kiafrika ya sehemu yalikuwa yamechukua watumwa wengi tayari na walitaka sana kuwaleta kwenye mahali pa biashara pwani ya Wareno kuwauza wakiwabadirisha kwa vitu vya Ulaya. Farasi walikuwa wanapendwa sana. Waafrika walihitaji farasi wengi kwa vita, kwa sababu kwa hali ya Kiafrika, farasi walikufa kwa haraka.
[16]
Wareno hawakuunganisha biashara ya watumwa ya Kiafrika kwa sababu walitaka kupata bei nzuri zaidi kwa vitu vya nyumbani. Vilevile, walienda na tanga Amerika. Walipata watu pale ambao waliowaita Wahindi, kwa sababu wao walifikiri walifika India. Lakini haikuwa India. Ilikuwa Amerika. Kwa hivyo, leo, tunawaita watu wale Wahindi wekundu. Kwa kweli, hawakuwa Wahindi kabisa. Wareno walianza mashamba pale kulima pamba na vingine. Walijifunza kwa haraka Wahindi wekundu hawakuwa wafanyakazi wazuri wa mashamba. Waliumwa na walikufa kwa haraka. Kwa hivyo, watumwa wa Kiafrika walikuwa wa manufaa kuwekwa kwa mashamba ya Amerika kufanya kazi, kama waliyaona makabila ya Kiafrika yakifanya kwa mashamba ya Kiafrika.
[17]
Siyo zaidi baadaye, Waholanzi na Waingereza walianza kufanya yanayofanana. Kwenda na tanga pwani pote aidha, kuanza makoloni kwa kulima na kuleta watumwa wa Kiafrika pale kufanya kazi kwenye mashamba. Ingawa wazungu walifunzwa biashara na kutumia watumwa kwa Waafrika, sasa walinunua na waliuza watumwa zaidi kuliko wote aidha (lakini hawakuwatumia kwa sadaka na hawakuwala).
[18]
Wareno pia walikuwa wazungu wa kwanza kuenda na tanga kuzunguka Afrika kufika pwani ya Afrika mashariki. Kama wao walipofika hawakuogopa sana Wabantu, lakini wao waliwaogopa Waarabu, kwa sababu Waarabu walikuwa na majahazi na bunduki. Ghafla, walianza kupigana na Waarabu, wakivurumisha majahazi yao na kuchoma miji yao, kama Kilwa. Majahazi ya Kiarabu yalikuwa rahisi kuzamisha kwa risasi ya mviringo ya mzinga, kwa sababu yalikuwa hayana mataruma. Baadaye Waarabu walipata majahazi mengine ya Kireno na waliona mataruma. Halafu walianza kujenga majahazi yao kwa mataruma vilevile.
[19]
Ingawa walikuwa na nguvu zaidi vitani baharini na nchi kavu, Wareno hawakupenda kupigana na Waarabu kwa sababu waliweza kufanya biashara yao rahisi zaidi kwenda Bara Hindi. Vilevile, Afrika waliweza kujenga miji yao ya biashara kusini ya pwani ambapo walikuwa Waarabu: Msumbiji. Hata Msumbiji ni jina la Kireno. Wareno walikuwa na amri Mombassa, Lamu na Malindi wakati mwingine, lakini waliuliza ushuru tu na hawakuchukua serikali ya Kiarabu.
[20]
Halafu ulikuja wakati ambao Waarabu na Waperesi wengi walikuja kutoka nchi zao kukaa mijini pa pwani ya Afrika mashariki na Zanzibar. Uislamu ulienea pote Afrika mashariki. Sasa, bidhaa nyingi zilisafirishwa kutoka pwani ya Afrika mashariki, vilevile aina maalumu ya mbao, viungo na sukari. Lakini, pembe za tembo na watumwa zilibaki bidhaa za maana zaidi kuliko nyingine zikisafirishwa. Waarabu wakiwa pwani waliuza vyote hivi kapteni wa majahazi kupata tende, zulia na dhahabu kutoka kwao.
[21]
Waarabu na Wabantu walikuwa na shida kuongea na wengine, kwa sababu Waarabu wanaongea Kiarabu na Wabantu wanaongea lugha za Kibantu nyingi tofauti. Watu wa biashara waliendeleza lugha ya pamoja ambayo inaitwa Kiswahili. Kiswahili siyo kama Kiarabu. Lakini kina maneno mengi ya Kiarabu. Kiswahili ni kama lugha ya Kibantu, lakini ni tofauti na lugha zote za Kibantu. Kufanya biashara Afrika ya mashariki lazima ulikuwa unajifunza Kiswahili. Vikosi mchanganyiko ambavyo vilisafiri ndani ya Afrika mashariki kununua watumwa na pembe za tembo viliitwa “Waswahili”.
[22]
Kuzunguka 1815, Sultani moja wa Kiarabu hata alihamia Zanzibar, na alitawala kutoka pale.
[23]
Wazungu zaidi wanakuja: wanaruhusu biashara ya watumwa halafu wanachukua amri Afrika
Miaka 200 iliyopita (karine 19)
Baada ya kununua mamillioni ya watumwa kutoka makabila ya Kiafrika na kuwaleta Amerika kufanya kazi mashambani pao, wazungu walighairi. Walianza kufikiri kama kufanya biashara ya watumwa na kuwatumia ilikuwa siyo vizuri. Ilianza Uingereza. Watu wengine pale walisema kama biashara ya watumwa ilikuwa mbaya na lazima isimame.
[24]
Baadaye kidogo hivyo watu wengi wa Kiingereza walianza kukubaliana kwao, kwamba serekali ya Kiingereza ilikata shauri kukataza biashara ya watumwa kabisa. Hii ilikuwa mwaka 1807, miaka 200 iliyopita, muda mrefu sana kwa kweli. Ilikuwa hata kabla ya wazungu, kama Stanley na Livingstone, walianza kupeleleza ndani ya Afrika. Kutoka wakati ule, Waingereza walijaribu kusimama biashara yote ya kitumwa. Pia biashara ya kitumwa ya Wahollansi, Wareno, Wahispania na Waarabu. Walianza kuangalia pwani ya Afrika wakitumia meli za vita baharini, mara kwa mara hata wakizichukua meli za watumwa na wakizirudisha pwani kuwafungulia watumwa. Wazungu wengine walisimama biashara ya kitumwa baadaye zaidi karine 19. Waarabu na Waafrika waliendeleza biashara ya kitumwa.
[25]
Kusimama biashara hakukumaanisha kwamba wazungu walitaka kukaa mbali ya Afrika. Kwa mbalimbali kabisa. Sasa walikuja kwa kweli. Ya kwanza walikuja wapelelezi wa ndani ya Afrika. Wazungu walijua pwani lakini wao hawakujua ambavyo vilikuwa ndani ya Afrika. Waarabu tayari walijua vizuri sana ambacho kilikuwa ndani kwa sababu wao walisafiri pale kufanya biashara ya meno ya tembo na watumwa. Walijua Kenya, Uganda, Tanzania, Burundi Rwanda na hata Kongo, kwa sababu biashara ya Kiarabu ilitokea katika nchi zote hizo. Hii hata kilikuwa kimeenea Kiswahili kuenda nchi hizi zote. Lakini Wazungu hawakujua sehemu hizo. Hata wao hawakujua kama pale kuna ziwa kubwa ambapo mto Nile unaanzia.
[26]
Misri Waingereza walifungua tena mfereji wa Suez katikati ya bahari ya Mediterranian na Bahari Nyekundu. Huu ulikuwa mfereji wa zamani sana ambao ulikuwa umelimwa na Wafarao miaka 2500 kabla ya wakati huu. Ulikuwa umejibomok. Baada ya hivyo, Wazungu walienda na meli Afrika mashariki kupita mfereji wa Suez ambako kulikuwa kufupi zaidi sana kushinda kwenda kuzunguka Afrika.
Kwa Wazungu, kuenda baharini kulikuja kuwa rahisi zaidi, kwa sababu walijifunza jinsi ya kujenga meli za vyuma na jinsi ya kutengeneza maengini. Maengini yaliendeshwa kwa moto wa kuni na makaa ya mawe. Haya yalichemsha maji. Mvuke wa maji ulikuwa unazungusha engini. Vilevile wao waliendeleza bunduki zao, kwa hivyo hakuna mtu alieweza kupigana nao zaidi. Baadaye kidogo walijifunza jinsi ya kutumia umeme. Jinsi hii, Wazungu walikuja kuwa watu walio wa nguvu zaidi kwa aidha.
[27]
Waingereza walianza kutawala Waarabu. Walichukua Sultani wa Zanzibar kama aina ya mfungwa ikulu [irr.: not: ikuluni] kwake. Lazima Sultani alitii [or: alifata] amri za Waingereza.
[28]
Wazungu waliingia ndani ya Afrika kutawala pale vilevile. Wanafanyabiashara wa Kizungu walitaka kulima dhahabu, fedha na almasi. Walitaka kulima mavuno ya kupendeza Ulaya, kama mafuta ya mnazi, pamba na mkonge. Mfano wa wakoloni ulikuwa Afrika ya kusini, ambapo Wazungu walipata sehemu kubwa. Walikuwa wameanza kubuni kazi pale aina ya Kizungu. Lakini walikuwa wanatumia watumwa, ambapo sasa ilikuwa hairuhusiwi. Kwa kutopenda waliwafungulia watumwa na waliwapanga aina hio kwamba waliweza kuitwa wafanya kazi na wanafunzi wa kazi.
[29]
Lakini, mikataba ya watumwa wa zamani hayakuwafanya huru sana kukusudia, na palikuwa na polisi ya Wazungu kuwaadilisha wafanyakazi wakitaka kuenda njia yao. Kwa sehemu nyingi nyingine Afrika, wafanyabiashara wa Kizungu ambao walianza kupeleleza, waliruhusiwa kwa serikali ya nchi yao kutawala pale kama wangelikuwa [watu wa] serekali.
[30]
Hiki kilikuwa cho chote kipya: siyo kufanya bishara tu na watu wakikaa Afrika, lakini kuchukua amri yao na kuanza kuwatawala. Wazungu walifikiri kupata amri ya makabila ya Kiafrika ilikuwa vizuri zaidi kuliko utumwa. Wafanyabiashara wa nchi nyingi za Ulaya, kama Uingereza, Ufaransa, Ujerumani na Ubelgiji, walipata utawala sehemu kubwa ya nchi ambapo makabila mengi tofauti yalikuwa yanakaa. Makabila haya mengi tofauti yalikuwa yamejitawala yenyewe na hawakuwa na desturi kutawaliwa pamoja kwa amri moja, ambayo mara nyingi isipokuwa nchi nyingina ya Ulaya, lakini kampuni ya biashara.
[31]
Tena, makabila ya Kiafrika yalikuwa na desturi kufanya biashara kwa Waarabu wakiuza ambavyo walivimiliki tu. Lakini Wazungu walitaka kama wao wangefanya zaidi kwa kulima kwa nguvu zaidi mashambani. Wazungu walitaka Waafrika kufanya kazi kujenga mabarabara na reli za magari moshi kuleta meli kubwa ya moshi pwani mavuno na bidhaa nyingine za kwenda nje. Waafrika hawakuwa na desturi hii, na hawakutaka kabisa.
[32]
Wazungu walijaribu kuwalazimisha Waafrika kufanya kazi. Wao walitengeneza pesa. Halafu waliingiza kodi la viduku. Waafrika lazima walilipa pesa kwa kila kiduku.
Waafrika waliuliza: “Jinsi gani sisi tutapata pesa?”
Wazungu walisema: “Sisi tutakupa pesa kama utakuja kufanya kazi kwetu.”
[33]
Wahindi wanakuja
Miaka 125 iliyopita (mwisho wa karine 19)
Waafrika hawakupenda kama hivi. Wengi walijaribu kuhepuka kodi. Waafrika hawakutosha waliokuja kufanya kazi kwenye mashamba makubwa, kujenga mabarabara na reli za gari moshi. Kwa hivyo, Waingereza walianza kuwaleta watu wa Kihindi kufanya kazi Kenya. Ni jinsi hii Wahindi walianza kuja kukaa Afrika ya mashariki. Baada ya kujenga reli za gari moshi, Wahindi wengi walikaa Afrika ya mashariki. Walianza kufanya biashara na kujenga maduka na viwanda. Ni jinsi hii miji mingi Afrika ya mashariki ilizuka. Ilikuwa imejengwa kwa Wahindi. Wahindi waliwaajili Wafrika kufanya kazi. Ya mwisho, Wahindi walionyesha kama walikuwa wazuri zaidi kuwalazimisha Wafrika kufanya kazi kuliko Wazungu. Waafrika hawakupenda kama hivi. Na hata leo hawataki kama hivi. Lakini Wahindi wanafanya hakika unaweze kununua vitu vingi Afrika.
[34]
Miaka 100 iliyopita, mwaka 1900, reli za treni zilizotoka Mombasa zilifika Kisumu, na ziwa Victoria. Baadaye, reli hata zilifika Kampala na Uganda ya kaskazini, karibu na Sudan.
[35]
Hata Wazungu zaidi waliishi Afrika
Miaka 100 iliyopita (mwanzo wa karine 20)
Wazungu wengi walikuja Afrika mashariki. Wengine walianza mashamba makubwa, wakiotesha sukari, pamba, chai, kahawa na mkonge. Wengine walikuja kusaidia kutawala nchi kama maoffisi ya serekali, polisi na wanajeshi.
[36]
Wakati uleule Wazungu walijifunza jinsi ya kutengeneza engini ndogo, zikienshwa kwa mafuta au petroli. Hizi waliziweka ndani ya magari, malori na ndege. Walijifunza jinsi ya kutengeneza simu na radio, kwa hivyo waliweza kuongea na wengine hata moja akiwa Nairobi na mwengine akiwa London.
[37]
Kutoka mwaka 1914 mpaka 1918 palikuwa na vita vikubwa Ulaya, Uingereza, Ufaransa, Italia na Urusi walipigana Ujerumani, Austria, na Uturuki. Ujerumani, Austria, na Uturuki walishindwa vita. Waingereza walichukua Tanzania kutoka kwa Wajerumani. Wabelgiji walipata Ruanda na Burundi. Ndiyo maana Rwanda na Burundi wanaongea Kifaransa sasa. Kifaransa ni lugha ambayo ilitumika kwa Wabelgiji. Serekali ya Tanzania ya Kijerumani ilikuwa na desturi kuongea Kiswahili. Baada ya viti vikubwa hivi, serekali ya Kiingereza iliingiza lugha ya Kiingereza. Ndiyo maana sheria zote za Tanzania zimeandikwa kwa Kiingereza mpaka leo.
[38]
Wazungu waliendelea kubadirisha sehemu kubwa za nchi kuwa mashamba makubwa na kulazimisha Waafrika kufanya kazi pale wakiingiza pesa na kodi. Waafrika wengi walipoteza mashamba yao. Wazungu waliendelea kujenga mabaraba, reli za treni, magari moshi, meli, na miji. Waliingiza bidhaa nchini lori na magari kutoka Ulaya. Zilikuja ndani ya meli kubwa. Waliingiza umeme mijini, hivyo zilikuwepo taa za umeme mabarabarani na ndani ya nyumba. Engini, genereta kubwa zilifanya umeme. Baadaye hata walijenga mabwawa ya umeme kwenye mito yakifanya umeme. Waliingiza mashule na mahospitali.
[39]
Afrika ya mashariki ilikuja kuwa tajiri zaidi lakini Waafrika wengi hawakutosheka. Wao walitaka kumiliki mashamba yao. Walitaka kutawala nchi yao. Mara nyingine watu wa Kiafrika ya mashariki walijaribu kuanza mahasi. Mahali pa kufanya kazi na kufanya utajiri, wengi sasa walipigana na Waafrika wengine ambao walikuwa wanajeshi kwa wazungu.
[40]
Wakati uleule vilevile Wazungu walivunjwa moyo. Wao walikuwa wanaota kupata pesa nyingi Afrika, lakini sasa walichukua kidogo na wao walikuwa na shida sana. Serekali zao za Kizungu hazikutaka kulipa pesa zaidi kuwasaidia wao kutawala makoloni. Mahitaji ya bidhaa nyingi ya mashamba ya Kiafrika yamepungua, kama mahitaji ya pamba na mkonge. Bidhaa yote nyingine zilikuwa na ushindani kwa nguvu zaidi kila siku kutoka sehemu nyingine aidha, kwa hivyo bei na faida zilienda chini hata zaidi. Kwa hivyo, Wazungu wengi walitaka kuondoka. Kwa haraka, Wazungu walizipa uhuru nchi za Kiafrika. Hii ilitoka mnamo miaka ya sitini ya karine jana.
[41]
Wazungu wanatoka
Mwaka 50 iliyopita (mnamo miaka sitini).
Wazungu walitoka, lakini nchi za Kiafrika hazikuja kuwa kama kabla ya Wazungu hawajafika. Wazungu walikuwa wamebadirisha Afrika kwa kina. Kwenya Afrika ya mashariki, kabla ya Wazungu hawajaingia nchi kulikuwa na makabila mengi yakijitawala yenyewe. Makabila yalikuwa na nchi, lakini, mara kwa mara, makabila yalitoka sehemu moja, kuenda mahali pengine. Mara nyingine walikuwa wanahama kuenda nchi bure, mara nyingine walikuwa wanafukuza makabila yengine kwenye vita. Kabila lilikuwa linalofanana, sehemu ilikuwa kubadirika. Wazungu walikuwa wamefanya sehemu kubwa sana kuwa nchi moja na serekali moja. Sasa watu wa sehemu kubwa moja walitawaliwa kwa serekali moja ya nchi, siyo makabila yote kwa viongozi vyao. Nchi ambazo zimefanywa kwa wazungu, kwa mfano Tanzania na Kenya, zilikuwa kubwa sana sana, na zilikuwa na makabila mengi sana. Baada ya uhuru viongozi wapya wa Kiafrika walitaka kuendelea aina ya Wazungu, hawataki kufanya kwa Kiafrika cha zamani. Walitaka kuwa na jeshi moja, polisi moja, serekali moja kwa makabila yote ndani ya nchi. Hawataki kuyapa uhuru makabila wote. Makabili yalikaa tametegemea [?] serikali kubwa ya nchi.
[42]
Kwa hivyo uhuru haukuwa uhuru wa kila moja. Hii ilifanya matatizo mengi. Ndani kila nchi, vilikuwa na vikoa vingi ambavyo vilitaka kutawala nchi. Vilianza vikupagana. Mara nyingi vikoa tofauti walianza kupigana vikitumia bunduki. Vikoa vya jeshi hushinda kwa sababu walikuwa na selaha. Viogozi vya nichi huwa megenerali.
[43]
Viogozi vya jeshi wanajua aina ya kukaa na amri lakini hawajui aina ya kutawala nchi. Matokeo ya makosi ya wafalme kijeshi wa simefundiswa, watu walikuja kuwa maskini. Haikuwa na pesa kudopoa mabarabara. Lami ilitoka pote. Mabarabara walikuja kuwa yamejaa mashimo. Mijini, taa za mabarabarani na paipi za maji machafu ziliharibika. Chini ya serikali ya jeshi kama hizi, wote walikuwa maskini na watu wengi waliogopa, hata viongozi wenyewe.
[44]
Mapolisi na wanajeshi mara nyingi walikuwa walitawaliwa vibaya. Walifanya ambaye walitaka na waliwasumbua watu kuwaiba pesa chache ambazo walizimilika, ambacho walikuja kuwa chache zaidi na zaidi, mpaka uliweza kukufa kwa kisu chake, au ungu, au kuni kidogo.
[45]
Lakini, mpaka leo, Waafrika wote wanasherekea siku ya uhuru wao kila miaka.
[46]
Hali ya leo
Leo, kwenye zaidi ya nchi ya Kiafrika, adui ambaye anafanya harasa zaidi kuliko wote kwa watu wa kawaida wa Kiafrika ni serekali za nchi zao. Hii inatoka rais kuenda polisi njiani. Lakini, wote wanajaribu pia kupata kazi ya serekali na pia kuja kuwa adui watu wa kawaida wote.
[47]
Kwa bahati nzuri kuna watu ambao wanahakikisha watu zaidi wana chakula na vitu vingine ambavyo wanahitaji. Hawa ni:
Lakini wanawake na watoto wanapigwa, na Wahindi wanachukiwa kwa wanaume wa
Kiafrika wote.