Back To: Drying a Yard: Grand Finale

Mwanza, Oktoba 19, 2005

 

Ujengangi

 

Imeunganisha Marekebisho ya mktaba wa tarehe 11 Januari, 2005 .

 

Rejea mkataba wetu, umeunganisha hapa nyuma ya mkataba huu.         

Mnunuzi: hamminga, Lambertus, kwa niaba ya MIND Foundation       
Fundi, mjenzi: Daniel Lwitakubi (Masala General Supplies, P.O.Box 11899 Mwatiza, Bwiru).  
Ujenzi wa Jahazi hili unategemea kughalimu jumla ya fedha taslimu milioni kumi na tatu (TSh 13 000 000/=)

 

 

Mahitaji kwa ujumla:

1.      Ujenzi kadiri ya sina kijenze jahazi kimwanza.

2.      Baada ya kukamilisha umbo, na kabla ya kupaka blanketi na rangi, makaguzi atakapoonekana kazi na atakagua kwa ufasaha zaidi.

3.      Baada ya kwisha jahazi kikalimifu, wakaguzi watakaguliwa na watajaribu kinaganaga.

 

 

Mahitaji mamahususi

1.      Rangi umbo:

a.       Chini nje: red oxide antivouling, mapangilio [coats] mbili (2)..

b.      Mbavu [boards] nje: gray epoxy saw dust, mapangilio mbili (2).

c.       Chini ndani:  grey epoxy saw dust, mapangilio mbili (2).

d.      Mbavu [boards] ndani: linseed oil mapangilio tatu (3).

e.      Rangi sakafi: linseed oil pande zote mapangilio tatu (3).

f.        Rangi deki:

·        ndani: linseed oil, mapangilio tatu (3)

·        nje: kwanza, viunga: kupaka [fill] TIXOPHALTE, halafu rangi: linseed oil. mapangilio nne (4) Mbao ya deki (sitiha,dari): upana: 12 cm na profile

 

 

2.      Chumba kubwa. Ambao tunajadiliana mara nyingi, lazima urefu chumba kubwa ni 203 cm pote, kadiri ya mchoro naganaga (kurasa 3).

3.      Helm (fimbo ya usukani): 3 m, na nguvu itatosha

4.      Daraja kubwa: kadiri ya mchoro naganaga (kurasa 3).

5.      Daraja ya gubeti: kadiri ya mchoro naganaga (kurasa 3)

6.      Nanga, nanga mbili (2), udhani: kilo 40

7.      Kamba ya nanga na kuegesha: vifaa: 3 polyethylene nylon rope (double twisted), upana: 26mm, urefu: thelathini thelathini thelathini (30 m all three, total 90 m).

8.      Mlingoti Stay Steel Wires: urefu, vifaa: kitafaa mambo [as per standard], upana 8 mm

 


 

9.      Transom maandao:

10.  Mashimo nne kadiri ya mchoro naganaga (“view from above”,”view from starboard”). LAZIMA MNUNUZI NI MAKULINI NA ANGALIE

 

11.  Milango tatu: Ujengangi

 

    

 

      ujuu na upana na urefu kadiri ya mchoro naganaga (kurasa 3 ya chini).

 

12.  Sura ya tanga : [Standard size:] 164 m2

13.  Mlingoti [Standard size:] urefu: 12.7 m, upana 17 cm: kitafaa mambo [as per standard]

14.  Folmali: [Standard size:] 26 m, upana, vifaa: kitafaa mambo [as per standard], Kizuri:

15.  High-folmali sheets: urefu, upana, vifaa: kitafaa mambo [as per standard]

16.  Main Sheet urefu, upana, vifaa: kitafaa mambo [as per standard]

17.  Jarari [halyard]urefu, vifaa: kitafaa mambo [as per standard], upana 12 mm

18.  Kamba zote mwengine urefu, upana, vifaa: kitafaa mambo [as per standard]

19.  Mnunuzi ataleta rangi zote