Back to English translation 

TO:

Fundi, mjenzi: Daniel Lwitakubi (Masala General Supplies, P.O.Box 11899 Mwatiza, Bwiru).

Ujenzi wa Jahazi hili unategemea kughalimu jumla ya fedha taslimu milioni kumi na tatu (TSh 13 000 000/=)

Co-signer of  the contract of Januari 11, 2005,

Between him and Dr. hamminga Lambertus

Mwanza, tarehe Octoba 15, 2005

 

Ripoti: kutanua shida sasa baada ya kusaini mkataby mpya

 

Tulikiri kumemaliza jahazi katika muda wa miezi mitatu. Baada ya miezi mitatu jahazi ulitakiwa kuwa limekamilika tarehe 15-4-2005, ni nusu mwaka uliopita. 12 Februari mnunuzi alilipa TSh.3.000.000/= kununua magogo 62 kumaliza jahazi (umbo, na sakafu na deki). 27 April 2005, magogo bado yamefika. Mnunuzi alitoka Uganda kuchacharika. 

 

Picha: Miti Mninga (magogo 62) imewasili kunini pa miti 18 na 19 Mai, 2005

 

Pamoja na kwamba kati ya tarehe 18-19 mwizina tano 2005 magogo 62 yalikuwa tayari yamefika kiwandani kwa ajili ya kuchwanwa mbao.

Mnamo tarehe 18-5-2005 mnunuzi alilakikishiwa na Daniel mbele ya shahidi Jeremia, fundi (carpentry) wa Mwanza mjini, kwamba magogo haya yangetosha kumaliza jahazi pamoja na mbao za sakafu na deki. Siko hiyohiyo mnunuzi alilipa hela za shilingi milioni nne (TSh 4.000.000/=) kumaliza umbo. Daniel alisaini kumemaliza umbo (finishing of the hull) na pesa ililipwa za miti yote (final payment of wood):

Pamoja na kumlipa pesa ile, Daniel hakuweza kumaliza umbo kama tukivyo kubaliana kati ya hizo milioni nne. Kumsaidia, mnunuzi alilipa tena milioni moja na nusu (TSh 1.500.000/=). Daniel alisaini kumemaliza (finishing the dhow):

 

Mnamo tarehe 30-9-2005, Daniel kwa mara ya tatu alimueleza mnunuzi kwamba anahitaji pesa kumaliza umbo. Ndipo, mnunuzi alimwomba ampe bajeti iliyofa fanuliwa.

 

Katika bajeti hii (imeunganisha hapa nyuma ya barua huu)  Daniel alieleza

1. Anataka kununua ubao 30 kumaliza umbo, na ubao 200 kumaliza sakafi na deki na milango. Ni magogo 23.  Lakini, Daniel alisaini ya ukiri pesa yenye miti yote (kuona juu).

2. Daniel anadai tena shilingi milioni mbili zaidi (TSh 2.000.000/= ) kumaliza umbo tu. Baadhi TSh 2.000.000/= zilizobakia ni kwa ajili ya kumalizia jahazi. Hizo hazitoshi.

 

Picha: Jahazi 30 Septemba, 2005

 

Mpaka sasa kwa muda huu, jahazi ndivyo linalo onekana kwenye picha. Thamani ya kazi mapaka sasa iko chini ya shilingi milioni saba (TSh 7.000.000). Lakini mnunuzi ameishalipa milioni tisa (TSh 9.000.000/=). Sasa anase pesa hizo zimekwisha. Vilevile tarehe 18-19 mwizina tano 2005 magogo 62 yalikuwa tayari yamefika kiwandani kwa ajili ya kuchwanwa mbao. Kama kwenye kupiga msumeno 41% ya migogo yametawanyawa (41% ni mno),  migogo 43 ilitiwa jahazini sasa. Magogo 19 imepotea au imetumika kwa kazi nyingine. Magogo yale (mininga) ilipatwa muhali sana sana. Lakini, Daniel bado anasisitiza magogo 62 ilitiwa jahazini sasa. Tena anasisitiza atamaliza jahazi kwa jumla shilingi milioni kumi na tatu (TSh.13.000.000/=). 

 

Kumalizia jahazi sasa:

 

Kumalizia jahazi kadiri ratiba chini

1.      Umbo: siku 18, kumalizia kuwa tayari kukaguliwa 5 Novemba, 2005

2.      Kupaka blanketi: siku 7, kumemaliza Novemba 14, 2005

3.      Kupaka rangi: siku 5, kumemaliza 19 Novemba, 2005

4.      Sakafi: siku 4, vibarua kumemaliza 24 Novemba, 2005

5.      Kushusha jahazi ziwani: siku 1, kumemaliza 25 Novemba, 2005

6.      Deki, milango: siku 6, kumemaliza 2 Desemba, 2005

7.      Kumalizia jahazi na kuwa tayari kukaguliwa na kujaribu: siku 8, December 13, 2005

8.      Kutazama, kujaribu: 14-17 Desemba , 2005

9.      Kumpokeza jahazi mnunuzi: 17 Desemba 2005

 

Mnunuzi aliomba kusaidia Daniel. Aliomba, sasa, tena, ya tatu, kulipa TSh.2.000.000/= kumaliza jahazi. Lakini Daniel alipiga simu mtu ambao amesigni mkataba Januari kumpeleka makahamani za mkataba yule.

 

Mnunusi ni mnunusi, siyo benki. Mnunusi amelipa pesa ambao vitafaa kumemaliza umbo. Kwa hakika Daniel amesaini ambao alipokea pesa “final payment of the wood”, “finishing of the hull”, na “finishing the dhow. painting and launching water”. Hata amesaini: “launching water” (kushusha ziwani), kwa hivyo amesaini kupaka blanketi ni rangi nje zote. Ni mkabani. Amesaini.

 

Zimeunganisha hapa nyuma ya barua huu

1.      Mkataba Januari 2005 (kurasa ngapi:2)

2.      Bajeti Sasa Daniel (kurasa 2)

3.      Magogo imepotea (kurasa 2)

  

Mimi Daniel ninatamka

 

1.      Bw. Kees van Vianen siyo mnunuzi, sina dhamana ya kisheria

2.      Dhamana ya kisheria yote ni mnunusi

3.      Mnunusi kote huungama yule dhamana ya kisheria

4.      Ripoti hii ya juu ni ya kweli kabisa

 

Mwanza, tarehe

 

Daniel