Back To: Drying a Yard: Grand Finale

 

 

Marekebisho ya mktaba wa tarehe 11 Januari, 2005 .

 

Rejea mkataba wetu, umeunganisha hapa nyuma ya mkataba huu.         

Mnunuzi: hamminga, Lambertus
Fundi, mjenzi
: Daniel Lwitakubi (Masala General Supplies, P.O.Box 11899 Mwatiza, Bwiru).
Ujenzi wa Jahazi hili unategemea kughalimu jumla ya fedha taslimu milioni kumi na tatu (TSh 13 000 000/=)

 

Sababu muhimu za marekebisho ya mktaba huu

 

Sababu muhimu za marekebisho ya mktaba huu imeeleza ndani ripoti imeunganisha hapa nyuma ya mkataba huu. Tumekubali ambao ripoti hii ni ya kweli kabisa.

 

Marekebisho wa malipo na kumalizia jahazi

 

Mkataba Januari ni sahihi, ila marekibisho mkataba Januari hapa ya chini yanasema tofauti.

 

Kumalizia jahazi sasa:

 

1.      Umbo: siku 18, kumalizia kuwa tayari kukaguliwa 5 Novemba, 2005

2.      Kupaka blanketi: siku 7, kumemaliza Novemba 14, 2005

3.      Kupaka rangi: siku 5, kumemaliza 19 Novemba, 2005

4.      Sakafi: siku 4, vibarua kumemaliza 24 Novemba, 2005

5.      Kushusha jahazi ziwani: siku 1, kumemaliza 25 Novemba, 2005

6.      Deki, milango: siku 6, kumemaliza 2 Desemba, 2005

7.      Kumalizia jahazi na kuwa tayari kukaguliwa na kujaribu: siku 8, December 13, 2005

8.      Kutazama, kujaribu: 14-17 Desemba , 2005

9.      Kumpokeza jahazi mnunuzi: 17 Desemba 2005

 
Kulipa

 

1.      Baada ya kusaini maktaba huu, mnunuzi atalipa shilingi milioni mbili tu (TSh.2.000.000/= )

2.      Baada ya kukamilisha umbo, na kabla ya kupaka rangi, makaguzi ataionekana kazi na atakagua kwa ufasaha zaidi. Ndipo, mnunuzi ataleta rangi zote.

3.      Baada ya kwisha jahazi kikalimifu, wakaguzi watakaguliwa na watajaribu kinaganaga. Jahazi litawa nzuri, mnunuzi atalipa jumla ya kwisho atakaporidhi jahazi: shilingi milioni mbili (TSh.2.000.000/=).

 

 

 

 

 

 

Tutajenga jahazi kama “Ujengangi” imeunganisha hapa nyuma ya mkataba huu.

 

Dhamana (Guarantees):

 

1.      Daniel atarekibisha bure maafa (damage) yote ya mlingoti, folmali, tanga, usukani, mataruma, mata, mbao, na viunga vyote kabla ya mweka 2010, hayaposababisha kufaa kubaya mnunuzi

2.      Ratiba ya kawaida matengenezo jahazi

a.       Kupaka rangi ya chini nje sitakuwa na lazima kabla ya mwaka 2008.

b.      Matengenezo viunga sitakuwa na lazima kabla ya mwaka 2008.

c.       Kupala rangi bodi nje sitakuwa na lazima kabla ya mwaka 2008.

Itakapowa lazima kufanya kazi 2,3,4, kabla ya mwaka 2008, Daniel ataifanya bure.

 

Kusimamia

 

Baada ya kusaini mkataba hii, mnunuzi atakuwa msimamizi ya kazi.  Amri yake, itakapowa kama mkataba, lazima halami itafuatwe .

 

Madhali mjenzi hatamaliza kwa muda ambao tumekubaliana hapo juu

 

1.      Baada ya tarehe moja mwezi wa Januari, mwaka elfu mbili na sita (1-1-2006), jahazi litakapokuwa halijakamilika, mjenzi atamlipa mnunuzi Shilingi elfu hamsini (TSh.50.000/=), kila wiki jahazi halijamazilika.

2.      Baada ya tarehe moja mwezi wa Februari, mwaka elfu mbili na sita (1-2-2006), jahazi litakapokuwa halijakamilika, mjenzi atamlipa mnunuzi Shilinig laki moja (TSh.100.000/=), kila wiki jahazi halijamazilika.

 

Mwanza, tarehe

Watu walikusaini:

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

Zimeunganisha hapa nyuma ya mkataba huu

 

1.      Ripoti, (ndani: mkataba Januari 2005). Kurasa ngapi: 9

2.      Ujengangi. Na mchoro ya jahaza kinaganaga. Kurasa ngapi: 3.

3.      Ratiba mpya kumaliza jahazi sasa. Kurasa ngapi: 1.

4.      Ukiri za TS.2.000.000. Kurasa ngapi: 1.